![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3T4KP0uQmbEkl7mB4ZPSeTxXZMm4efYPNk_KXrXezs3xYwv-pLmPNVDOJ7BurLxCOCiDE5Ub8pTQTB2NoAGWJbY2N9dERo4NSTAjoVdzZEm3jpVzJzQ7S5BUhua-ino9klGHPF_ffnOt5/s320/REEE3333.webp)
Nisha ameweka wazi kitu gani kinamfanya aende China mara kwa mara
on
March 17, 2016
Share
Tweet
Share
Share
comments
Mwigizaji Nisha ameingia kwenye headlines baada ya kusafiri mara kwa mara kuelekea china na kupelekea mashabiki kuhisi labda ni miongoni mwa wale warembo wanaosafiri dawa za kulevya.
Hii sio mara ya kwanza kwa msanii huyo kwenda china na ukizingatia warembo wengi wakitanzania wanaokwenda china wanakamatwa na kufungwa, sasa basi hapa ninayo interview ya nisha akielezea kile kilichompeleka China pamoja na mipango yake.
No comments:
Post a Comment