Maneno ya mwenyekiti wa CCM Mikocheni baada ya Mwapachu kurudi CCM… milioni moja aliyoitoa je?
March 16 balozi Juma Mwapachu alitangaza rasmi kurudi cha chake cha zamani CCM, Mwapachu alirudi CCM ikiwa ni zaidi ya miezi mitano imepita toka atangaze kuhama chama hicho, baada ya Mwapachu kurudi CCM mwenyekiti wa CCM Mikocheni Bernard Lweyabula kasema haya.
“Ni kweli balozi Juma Mwapachu leo amerudi CCM baada ya kuondoka kwa muda mfupi, alileta taarifa mapema kama kwamba anataka kurudi, tukakaa vikao vya kamati ya kata tukamjadili tukaona tumrudishe CCM” >>> Bernard Rwehabura – mwenyekiti wa serikali ya mtaa na katibu wa uchumi na mipango kata ya Mikocheni.
‘Balozi Mwapachu alileta taarifa za kutaka kurudi na tukaa vikao kamati ya siasa ya kata na tukakubali arudi, tukamkabidhi kadi… ni baada ya kufatilia sana kwa muda wa kama wiki mbili na tulimuuliza kwenye kamati kilichomrudisha, akajieleza kwa undani na historia ya familia yake ya kuzaliwa CCM na kwamba aliteleza tu akajiondo’ – Bernard
Kwa kumalizia mwenyekiti huyu amesema shilingi milioni moja aliyoitoa Balozi Juma Mwapachu ni baada ya kuona ofisi ya CCM Mikocheni inahitaji matengenezo ili iwe na ofisi ya hadhi.
HABARI ZA MICHEZO, SIASA, UCHUMI, ELIMU NA MATANGAZO YA BIASHARA TUNAPATIKANA KWA NAMBA ZIFUATAZO +255785312020 KWA SIMU ZA KAWAIDA NA Whatsapp
Thursday, March 17, 2016
Maneno ya mwenyekiti wa CCM Mikocheni baada ya Mwapachu kurudi CCM… milioni moja aliyoitoa je? By Rama Mwelondo TZA on March 16, 2016 Siasa Maneno ya mwenyekiti wa CCM Mikocheni baada ya Mwapachu kurudi CCM… milioni moja aliyoitoa je? By Rama Mwelondo TZA on March 16, 2016 64 shares Share Tweet Share Share comments March 16 balozi Juma Mwapachu alitangaza rasmi kurudi cha chake cha zamani CCM, Mwapachu alirudi CCM ikiwa ni zaidi ya miezi mitano imepita toka atangaze kuhama chama hicho, baada ya Mwapachu kurudi CCM mwenyekiti wa CCM Mikocheni Bernard Lweyabula kasema haya. “Ni kweli balozi Juma Mwapachu leo amerudi CCM baada ya kuondoka kwa muda mfupi, alileta taarifa mapema kama kwamba anataka kurudi, tukakaa vikao vya kamati ya kata tukamjadili tukaona tumrudishe CCM” >>> Bernard Rwehabura – mwenyekiti wa serikali ya mtaa na katibu wa uchumi na mipango kata ya Mikocheni. ‘Balozi Mwapachu alileta taarifa za kutaka kurudi na tukaa vikao kamati ya siasa ya kata na tukakubali arudi, tukamkabidhi kadi… ni baada ya kufatilia sana kwa muda wa kama wiki mbili na tulimuuliza kwenye kamati kilichomrudisha, akajieleza kwa undani na historia ya familia yake ya kuzaliwa CCM na kwamba aliteleza tu akajiondo’ – Bernard Kwa kumalizia mwenyekiti huyu amesema shilingi milioni moja aliyoitoa Balozi Juma Mwapachu ni baada ya kuona ofisi ya CCM Mikocheni inahitaji matengenezo ili iwe na ofisi ya hadhi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment