Kutoka kwa Video Queen Gigy Money asema yupo tayari kucheza picha za Utupu akipewa mkwanja mrefu!!!!
"“Yaani nikiambiwa napewa mamilioni nicheze picha hizo nipo tayari maana hapa duniani wanaokula starehe zaidi ni wale wenye fedha sasa nikipewa mamilioni ili nibadili maisha yangu, niko tayari maana nitabadili maisha yangu na nitaishi kitajiri hapo mpaka watu waje kunishtukia nitakuwa nimeshakula bata vya kutosha,”
No comments:
Post a Comment