Dubai ni mji ambao watanzania wengi wanaenda kwa kufanya biashara na ni mjii unao kuwa kwa haraka sana
DUBAI 2016
TAZAMA TOFAUTI YA MIJI HIYO
DUBAI WATERFRONT
MJI WA DUBAI UNAKUWA KWA HARAKA KUTOKANA NA UKUSANYAJI WA MAPATO NA VIONGOZI WAKE WAPO IMARA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA MJI WAO
No comments:
Post a Comment